GOMA RDC, Q. MABANGA SUD, Av. MUTONGO 16
+243 813 134 109 ; 993 918 000
ezramakoma@gmail.com

Catégorie : Prédication / Mahubiri

Ujumbe maalum wa lipanda 2020 naye Mchungaji JONAS SAFUEL SINGO toka Tanzania akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA MAKOMA inayo kichwa « MUASISI WA UHURU »

Katika kipindi hiki, Mchungaji Jonas Anaeleza kwamba kuna waasisi wa uhuru katika Afrika yetu kama vile KWAME KRUMA wa huko Ghana, Nelson MANDELA wa Afrika ya Kusini, Mwalimu Nyerere wa Tanzania, JOMO KENYATA wa KENYA na Mwasisi wa uhuru kamili ni Mungu mwenyewe aliye Umba Dunia

Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 26 05 2020

Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha tano kinacho husu Maombi ya Naziri na Kipengele ya Sita inayo husu kujua kumungoja Bwana na kuvumilia.

Rev. Nyondo Responsable de L'Eglise 3e CBCA Goma-Ville

Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 20 05 2020

Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha ine kinacho husu Kuomba katika jina la Yesu.

Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 19 05 2020

Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha pili na cha tatu kinacho husu Maombi ni nguvu ya huduma.

Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 12 05 2020

Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha kwanza kinacho husu Njaa ao kiu ya kumutafuta Mungu.

Emission spéciale « Ujumbe wa Pasaka » du 21 Avril 2020

Enseignement tiré dans Jean 21 :1-14, nous parlant de l’apparition de Jésus-Christ pour la troisième fois devant ses disciples. A réécouter dans cet audio ci-dessous :

Emission « Kristo kwa Mataifa » du 10 Avril 2020

En marge de la préparation de la pâques, dans cette émissions on nous parle de ces 7 mots prononcés par Jésus-Christ sur la croix et leurs sens dans notre vie en tant que Chrétiens.

Ujumbe wa Mitende du 05 Avril 2020

Emission spéciale avec les serviteurs de Dieu, pasteur Ezra KASEREKA et pasteur MAYAU Gilbert en marge de la commémoration de l’entrée triomphale que fit Jésus à Jérusalem avant la pâque. Une émission que vous pouvez écouter de nouveau dans ce fichier audio!

Ujumbe wa Mitende du 05 Avril 2020

Emission spéciale avec les serviteurs de Dieu, pasteur Ezra Kasereka et pasteur Jephason Ngato en commémoration de l’entrée triomphale que fit Jésus à Jérusalem. Parole tirée dans l’évangile selon Marc 11 :8-10. Une émission que vous pouvez écouter de nouveau dans ce fichier audio!