Ujumbe maalum wa lipanda 2020 naye Mchungaji JONAS SAFUEL SINGO toka Tanzania akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA MAKOMA inayo kichwa « MUASISI WA UHURU »
Katika kipindi hiki, Mchungaji Jonas Anaeleza kwamba kuna waasisi wa uhuru katika Afrika yetu kama vile KWAME KRUMA wa huko Ghana, Nelson MANDELA wa Afrika ya Kusini, Mwalimu Nyerere wa…