Katika kipindi hiki, Mchungaji Jonas Anaeleza kwamba kuna waasisi wa uhuru katika Afrika yetu kama vile KWAME KRUMA wa huko Ghana, Nelson MANDELA wa Afrika ya Kusini, Mwalimu Nyerere wa Tanzania, JOMO KENYATA wa KENYA na Mwasisi wa uhuru kamili ni Mungu mwenyewe aliye Umba Dunia
