Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 26 05 2020
Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 26 05 2020
Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha tano kinacho husu Maombi ya Naziri na Kipengele ya Sita inayo husu kujua kumungoja Bwana na kuvumilia.
Hatua ya tano na ya Sita ya Maombi: Maombi ya Naziri pia Kumungoja Bwana na Kuvumilia