Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 20 05 2020
Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha ine kinacho husu Kuomba katika jina la Yesu. Hatua ya Ine ya Maombi: Kuomba Katika Jina la Yesu