You are currently viewing Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 12 05 2020
Photo de gédéon prise lors de l'arrivée de l'Evêque Tanzanien William Benjamin BUKUKU à Goma RDC

Kipindi Ujumbe kwa wote: semina kuhusu maombi pamoja na Askofu william Benjamin BUKUKU akiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA ilio rushwa hewani tarehe 12 05 2020

Katika Hatua saba za za Maombi, Askofu Bukuku huchambua Kipengele cha kwanza kinacho husu Njaa ao kiu ya kumutafuta Mungu.

Askofu William BENJAMIN BUKUKU katika hatua ya kwanza ya Maombi
Partager c'est aimer, faites-le 😉 :

Laisser un commentaire