GOMA RDC, Q. MABANGA SUD, Av. MUTONGO 16
+243 813 134 109 ; 993 918 000
ezramakoma@gmail.com

Mois : août 2019

Kipindi maalum cha mahubiri pamoja na Muinjilisti wa kimataifa ROB WELCH kunako Radio Sauti ya Injili Goma hii tarehe 19 agosti 2019.

Mwongozi wa kipindi ni Mchungaji Ezra KASEREKA MAKOMA. Mahubiri haya yanajaa baraka za kiroho na mwito ili fuata Yesu Kristo. Fungua na usikilize neno la mungu ukisikia sauti ya Muinjilisti ROB WELCH ambye yupo mjini Goma-RDC kwa ajili ya mkutano mkuu.

Voici les cantiques de ce dimanche 18 Août 2019 sur votre chaîne qui vous bénit, la « Radio Sauti ya Injili »-Goma. En kiswahili c’est « NYIMBO ZA ZAMA ZETU ».

C’est le pasteur Ezra KASEREKA qui anime cette antenne. Ouvrez et lisez cet audio ici pour bien savourez ces cantiques.

Dans l’émission » Ujumbe kwa wote  » du 16 August 2019, l’évangéliste Jacques Daniel Rochas de Suisse, parle de l’amour de Dieu.

Mtu wa Mungu Jacques Daniel ROCHAS akitafusiriwa na Mchungaji Innocent WADON OKEDOGO, anahubiri kuhusu upendo wa Mungu, Upendo huu mkubwa ukamtuma kumtoa mwana wake wapekee Yesu Kristo ili aje aiokowe Dunia, ila Wokovu ni chaguo la kila mmoja kwa upekee, kama vile hao wezi msalabani, mmoja hakutaka kutambua makosa yake nakujiacha kwa Yesu ili asemehewe,…
Lire la suite

Mch-Ezra-kasereka

Kipindi cha Nyimbo za Ijuma, sehemu ya pili, tarehe 09 Agosti 2019, pamoja na Mchungaji Ezra KASEREKA MAKOMA.

Katika kipindi hiki kwa pili, Mchungaji Ezra KASEREKA anaendelea kujibu swali la msikilizaji « Prudent  » toka Jimbo la Kivu ya Kusinin sehemu za Nyabibwe, akisoma katika kitabu cha Nehemia 9:5

Nyimbo za zama zetu: Animation d’antenne du dimanche 11 Agosti 2019.

Katika kipindi hiki, Mchungaji Ezra KASEREKA hurusha hewani Nyimbo zilizo vuma wakati wa zamani akichukua baraka za wasikilizaji kupitia simu, ni kipindi kinacho pendeza sana. Dans cette espace d’animation la musique balancée est chrétienne datant des générations passées, une musique douce et qui a toujours sa place au temps actuel. l’objectif est aussi de rappeler…
Lire la suite

Unyumba unaodumu, katika kipindi hiki cha tarehe 10 August 2019, Jozi la Mchungaji Mathias Mushi Waendela kuleta mafundisho kuhusu Chagamoto za mfumo dume na jike

Wakiongozwa na Mchungaji Ezra KASEREKA wanaendelea na mafundisho kuhusu unyumba unaodumu katika sehemu yake inayoonesha ugumu wa maendeleo ya ndoa tusipo jishusha na kujitolea mmoja kwa mwingine tukichukuliana mazaifu yetu.

Mch-Ezra-kasereka

Kipindi cha Nyimbo za Ijuma, sehemu ya kwanza, tarehe 09 Agosti 2019, pamoja na Mchungaji Ezra KASEREKA MAKOMA.

Katika kipindi hiki kwa Kwanza, Mchungaji Ezra KASEREKA huongoza Maombi baada ya kiingilio pia hu jibu kwa swali la msikilizaji kuhusu hali gani »position » inafaa wakati wa maombi