Katika Kipindi hiki Wazee Mama Lucie KABUO, Mama JODEZIA na Mzee Bildadi KAKULE wanajadiliana Kuhusu kuandaa kesho ilio bora zaidi katika utumizi wa chakula, Katika karamu watu hupenda kutumia chakula za kisasa, zinazo jaa mafuta mengi, sukari nyingi, hio ikiwa na mazara mengi kwa afia.
